Posts

Showing posts with the label local news

Official : Simba sign Lusaka dynamos captain

Image
Tanzanian out-fit Simba SC have announced the signing of Zambian midfielder Clatous Chota Chama on a two year deal from Lusaka dynamos.  The midfielder has been linked with a move away from the big spenders. Chama joined the Lusaka based club last year after his short stint in Egypt.  A source at Lusaka dynamos has however said the player has moved without the permission of the Club.  "The club is not aware of the deal and will not issue him with the International transfer certificate (ITC) since no transfer fee has been paid, " The source said.  Zambia international will however leave for Turkey with his new team as they start their pre-season in preparation for a new season.

Yanga staying positive ahead of Gor game

Image
Tanzanian side Yanga SC is hoping to pick a positive result when it faces Kenyan side Gor Mahia in the Group D clash of the CAF Confederations Cup on Wednesday 18th July at Moi International Sports Center, Kasarani.  Both sides are yet to win a game in the group from the opening two clashes and Yanga assistant coach Noel Mwandila hopes fortunes will flip his team’s way as they look to rise from bottom, having managed just a point from the two.  Yanga have done lots of research on Gor Mahia, Mwandila said, having watched the Kenyan side at both the Super Cup competition held in Kenya and CECAFA Kagame Cup staged in Tanzania and Mwandila hopes the information collected guides the team to a positive result.   Good side   “We are aware of the challenge ahead of us; we are facing a very good side but we are also ready having prepared well and also watched them at the Super Cup and CECAFA tournament.  “We will go in there to give our best and hopeful...

Mkurugenzi Singida UTD amefunguka usajili wa Kaseke Yanga

Image
Kuelekea msimu mpya wa kimashindano, suala la usajili linazidi kushika kasi, Yanga imemtambulisha Mrisho Ngasa na Deus Kaseke ambao kwa nyakati tofauti waliwahi kucheza katika klabu hiyo.  Kaseke alijiunga na Singida United msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili lakini kabla ya mkataba wake na Singida haujamalizika amerudi tena Yanga swali linalojadiliwa ni je, Kaseke na Singida wamemalizana au yametokea mambo kama ya Fei Toto?    Mkurugenzi wa Singida United Festo Sanga amesema Singida United na Yanga vilikaa na kukubaliana kuhusu usajili wa Deus Kaseke na hawana tatizo katika usajili huo.  “Ni kweli Singida United ilikuwa na mkataba wa miaka miwili na Deus Kaseke na alikuwa ametumikia mkataba kwa mwaka mmoja lakini kulikuwa na makubaliano kati ya Yanga na Singida United kwamba mchezaji huyo atakwenda kuitumikia Yanga”-Festo Sanga.  “Kwenye hili hatuna tatizo, tatizo letu na Yanga ni kuhusu Fei Toto hilo ndio tatizo kubwa. Kuhusu Kaseke tupo s...

CECAFA Cup final: Kagere starts for Simba as Azam looks to defend title

Image
Meddie Kagere has been handed a starting role for Simba in the CECAFA Cup final match against Azam.  The former Gor Mahia striker will lead the attacks alongside Marcel Kahenza and Mohamed Rashid. Kagere has two goals so far in the tournament. A penalty well - taken against APR of Rwanda and a semi-final lone strike against Jeshi La Kujenga Uchumi.  Azam, the title defenders will look to overcome Simba test in the evening in an all Tanzania affair at the National Stadium.  Simba Starting XI: 1. Deo Munishi 2. Nicholas Gyan 3. Mohammed Hussen 4. Paul Bukaba 5. Pascal Wawa 6. James Kotei 7. Mzamir Yassin 8. Said Ndemla 9. Meddie Kagere 10. Mohamed Rashid 11. Marcel Kaheza.  Subs: 12. Ally Salim 13. Ally Shomary 14. Jamal Mwambeleko 15. Abdul Hamis 16. Rashid Juma 17. Moses Kitandu.   Azam Staring XI: 1. Razak Abalora 2. Nicholas Wadada 3. Bruce Kangwa 4. Aggrey Morris 5. Abdallah Kheri 6. Frank Domayo 7. Joseph Mahundi 8. Abubakar Salum 9. Sha...

CAF CC: Gor Mahia V Yanga to be beamed live

Image
The CAF Confederations Cup match between Gor Mahia and Young Africans will be broadcast live.  Yanga, as Young Africans are popularly known will be hosted by Gor Mahia at MISC Kasarani on July 18th in a third Group D match. beIN Sports 1 and 3 will broadcast the match live from Kasarani to the regions in MENA, Asia, Canada, Australia and the USA. SuperSport four will beam the proceedings live to the Sub-Saharan region while TVM will take care of the audience in Madagascar. ZBC2 will broadcast the match in Tanzania. No Kenyan TV station has been accredited to beam the match live.  Gor Mahia who are out of the CECAFA Kagame Cup tournament drew 1-1 against Rayon Sports before a 0-0 one against USM Alger. USM, the Algerian giants are in Nairobi preparing for Rayon match at Nyamirambo Stadium the same day. The match will also be broadcast live by a number of regional stations.  Yanga suffered a 4-0 against USM in the opener before drawing 0-0 against the Rwandan si...

Mtibwa yachomoa Dilunga kwenda Simba

Image
Mtibwa Sugar imepangua tetesi zinazomhusisha mchezaji bora wa kombe la TFF (FA Cup) 2018 Hassan Dilunga ambaye pia ni mchezaji bora wa Mtibwa Sugar kwa msimu uliopita kwamba huenda akajiunga na Simba.  Mkurugenzi wa Mtibwa Sugar Jamal Bayser amesema Dilunga bado ana mkataba na timu yao na wanaamini atamaliza mkataba wake.  “Taarifa za Dilunga kuhusishwa na Simba zinazungumzwa sana lakini suala la Dilunga kwenda Simba kwa sasa halipo. Hizo ni tetesi ambazo ni kawaida katika kipindi cha usajili”-Bayser.  “Dilunga bado ana mkataba wa mwaka mmoja na tunatumaini atamalizia mkataba wake ndani ya Mtibwa Sugar.”  Dilunga amewahi kucheza Yanga lakini baadaye akaondoka na kwenda kwenye vilabu ambavyo havina majina makubwa VPL lakini kwa sasa anafanya vizuri akiwa na Mtibwa Sugar.  Bayser amesema maandalizi kwa ajili ya msimu ujao yanaenda vizuri na tayari wamesajili mchezaji mmoja Jafar Kibaya ambaye alikuwa Mtibwa msimu wa 2016/17 msimu uliopita alicheza Kage...

Jerry Muro akosoa usajili “Mnawasajili wachezaji dhaifu hawaendani na hadhi ya ukubwa wa Yanga”

Image
Baada ya uongozi wa Yanga kumtambulisha kiungo Mohamed Issa ‘Banka’ kuwa imemsajili kwa mkataba wa miaka miwili, aliyekuwa ofisa habari wa klabu hiyo Jerry Muro amekosoa usajili huo.  Muro ali-comment kwenye ukurasa wa Instagram ya Yanga baada ya klabu hiyo kupost picha ya Banka akiwa amevaa jezi ya Yanga baada ya utambulisho comment ya Muro imelenga kukosoa usajili unaoendelea na kuonesha namna ambavyo haridhishwi na baadhi ya mambo yanavyokwenda.  “Hapa ndipo napojiuliza haya mambo yataisha lini awali tuliambiwa usajili ni kimyakimya, sasa naona mmeanza kutoa hadharani, haya tuendelee kuweka wengine hadharani.”  “Ila bado mnawasajili wachezaji dhaifu sana ambao hawaendani hadhi ya klabu kubwa kama Yanga. Hawa wachezaji wamechoka sana hawana tena uwezo, pumzi, akili na mbinu mpya hawa wanaelekea ukingoni mwa uchezaji wao.”  “Nawashauri Yanga hawa wachezaji mnasajili kwa ajili ya Yanga Veterans tu.”